Native Bible

Proverbs 12:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu.

Proverbs 12:19 in English

Proverbs 12:19 · Berean Standard Bible

Truthful lips endure forever, but a lying tongue lasts only a moment.

Context

17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, bali shahidi wa uongo husema uongo. 18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 19Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 20Upo udanganyifu katika mioyo ya wale ambao hupanga mabaya, bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. 21Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.