Native Bible

Proverbs 12:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Upo udanganyifu katika mioyo ya wale ambao hupanga mabaya, bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani.

Proverbs 12:20 in English

Proverbs 12:20 · Berean Standard Bible

Deceit is in the hearts of those who devise evil, but the counselors of peace have joy.

Context

18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 19Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 20Upo udanganyifu katika mioyo ya wale ambao hupanga mabaya, bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. 21Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi. 22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo, bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.