Native Bible

Proverbs 12:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi.

Proverbs 12:21 in English

Proverbs 12:21 · Berean Standard Bible

No harm befalls the righteous, but the wicked are filled with trouble.

Context

19Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu. 20Upo udanganyifu katika mioyo ya wale ambao hupanga mabaya, bali kuna furaha kwa wale wanaoleta amani. 21Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi. 22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo, bali hufurahia watu ambao ni wa kweli. 23Mtu mwenye busara hujihifadhia maarifa yeye mwenyewe, bali moyo wa wapumbavu hububujika upumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.