Mithali 12:14
Proverbs 12:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza.
Proverbs 12:14 in English
Proverbs 12:14 · Berean Standard Bible
By fruitful speech a man is filled with good things, and the work of his hands returns to him.
Context
12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya,
bali shina la mwenye haki hustawi. 13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi,
bali mwenye haki huepuka taabu. 14Kutokana na tunda la midomo yake
mtu hujazwa na mambo mema,
hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. 15Njia ya mpumbavu huonekana sawa
machoni pake mwenyewe,
bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri. 16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja,
bali mtu wa busara hupuuza matukano.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.