Native Bible

Proverbs 12:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa.

Proverbs 12:3 in English

Proverbs 12:3 · Berean Standard Bible

A man cannot be established through wickedness, but the righteous cannot be uprooted.

Context

1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, bali Bwana humhukumu mwenye hila. 3Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa. 4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe. 5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.