Mithali 12:2
Proverbs 12:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, bali Bwana humhukumu mwenye hila.
Proverbs 12:2 in English
Proverbs 12:2 · Berean Standard Bible
The good man obtains favor from the LORD, but the LORD condemns a man who devises evil.
Context
1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa,
bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu. 2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana,
bali Bwana humhukumu mwenye hila. 3Mtu hathibitiki kutokana na uovu,
bali mwenye haki hataondolewa. 4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe,
bali aaibishaye ni kama uozo
katika mifupa ya mumewe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.