Mithali 10:30
Proverbs 10:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kamwe wenye haki hawataondolewa, bali waovu hawatasalia katika nchi.
Proverbs 10:30 in English
Proverbs 10:30 · Berean Standard Bible
The righteous will never be shaken, but the wicked will not inhabit the land.
Context
28Tarajio la mwenye haki ni furaha,
bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki,
lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 30Kamwe wenye haki hawataondolewa,
bali waovu hawatasalia katika nchi. 31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima,
bali ulimi wa upotovu utakatwa. 32Midomo ya wenye haki inajua kile kinachofaa,
bali kinywa cha mwovu hujua kile kilichopotoka tu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.