Native Bible

Proverbs 10:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa.

Proverbs 10:31 in English

Proverbs 10:31 · Berean Standard Bible

The mouth of the righteous brings forth wisdom, but a perverse tongue will be cut out.

Context

29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 30Kamwe wenye haki hawataondolewa, bali waovu hawatasalia katika nchi. 31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa. 32Midomo ya wenye haki inajua kile kinachofaa, bali kinywa cha mwovu hujua kile kilichopotoka tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.