Native Bible

Proverbs 10:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.

Proverbs 10:29 in English

Proverbs 10:29 · Berean Standard Bible

The way of the LORD is a refuge to the upright, but destruction awaits those who do evil.

Context

27Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 28Tarajio la mwenye haki ni furaha, bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 30Kamwe wenye haki hawataondolewa, bali waovu hawatasalia katika nchi. 31Kinywa cha mwenye haki hutoa hekima, bali ulimi wa upotovu utakatwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.