Native Bible

Proverbs 10:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tarajio la mwenye haki ni furaha, bali matumaini ya mwovu huwa si kitu.

Proverbs 10:28 in English

Proverbs 10:28 · Berean Standard Bible

The hope of the righteous is joy, but the expectations of the wicked will perish.

Context

26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho, ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 27Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 28Tarajio la mwenye haki ni furaha, bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya. 30Kamwe wenye haki hawataondolewa, bali waovu hawatasalia katika nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.