Mithali 10:27
Proverbs 10:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa.
Proverbs 10:27 in English
Proverbs 10:27 · Berean Standard Bible
The fear of the LORD prolongs life, but the years of the wicked will be cut short.
Context
25Tufani inapopita, waovu hutoweka,
lakini wenye haki husimama imara milele. 26Kama siki ilivyo kwa meno na moshi kwa macho,
ndivyo alivyo mvivu kwa wale waliomtuma. 27Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha,
lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 28Tarajio la mwenye haki ni furaha,
bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. 29Njia ya Bwana ni kimbilio kwa wenye haki,
lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.