Native Bible

Proverbs 10:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wenye hekima huhifadhi maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi.

Proverbs 10:14 in English

Proverbs 10:14 · Berean Standard Bible

The wise store up knowledge, but the mouth of the fool invites destruction.

Context

12Chuki huchochea faraka, lakini upendo husitiri mabaya yote. 13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 14Wenye hekima huhifadhi maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi. 15Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, bali ufukara ni maangamizi ya maskini. 16Ujira wa wenye haki huwaletea uzima, lakini mapato ya waovu huwaletea adhabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.