Native Bible

Proverbs 10:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu.

Proverbs 10:13 in English

Proverbs 10:13 · Berean Standard Bible

Wisdom is found on the lips of the discerning, but a rod is for the back of him who lacks judgment.

Context

11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 12Chuki huchochea faraka, lakini upendo husitiri mabaya yote. 13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 14Wenye hekima huhifadhi maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi. 15Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, bali ufukara ni maangamizi ya maskini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.