Native Bible

Proverbs 10:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu.

Proverbs 10:11 in English

Proverbs 10:11 · Berean Standard Bible

The mouth of the righteous is a fountain of life, but the mouth of the wicked conceals violence.

Context

9Mtu mwadilifu hutembea salama, lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. 10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni, naye mpumbavu apayukaye huangamia. 11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima, lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 12Chuki huchochea faraka, lakini upendo husitiri mabaya yote. 13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua, lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.