Mithali 10:12
Proverbs 10:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Chuki huchochea faraka, lakini upendo husitiri mabaya yote.
Proverbs 10:12 in English
Proverbs 10:12 · Berean Standard Bible
Hatred stirs up dissension, but love covers all transgressions.*
Context
10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni,
naye mpumbavu apayukaye huangamia. 11Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima,
lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 12Chuki huchochea faraka,
lakini upendo husitiri mabaya yote. 13Hekima hupatikana katika midomo ya wenye kupambanua,
lakini fimbo ni kwa ajili ya mgongo wake asiye na ufahamu. 14Wenye hekima huhifadhi maarifa,
bali kinywa cha mpumbavu hualika maangamizi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.