Native Bible

Proverbs 1:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu,

Proverbs 1:24 in English

Proverbs 1:24 · Berean Standard Bible

Because you refused my call, and no one took my outstretched hand,

Context

22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa? 23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu na kuwafahamisha maneno yangu. 24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu, 25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, 26mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga litawapata:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.