Native Bible

Proverbs 1:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu na kuwafahamisha maneno yangu.

Proverbs 1:23 in English

Proverbs 1:23 · Berean Standard Bible

If you had repented at my rebuke, then surely I would have poured out my spirit on you; I would have made my words known to you.

Context

21kwenye makutano ya barabara za mji zenye makelele mengi hupaza sauti, kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake: 22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa? 23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu na kuwafahamisha maneno yangu. 24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu, 25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.