Native Bible

Proverbs 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa?

Proverbs 1:22 in English

Proverbs 1:22 · Berean Standard Bible

“How long, O simple ones, will you love your simple ways? How long will scoffers delight in their scorn and fools hate knowledge?

Context

20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 21kwenye makutano ya barabara za mji zenye makelele mengi hupaza sauti, kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake: 22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa? 23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu na kuwafahamisha maneno yangu. 24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.