Native Bible

Proverbs 1:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa;

Proverbs 1:20 in English

Proverbs 1:20 · Berean Standard Bible

Wisdom calls out in the street, she lifts her voice in the square;

Context

18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; hujivizia tu wenyewe! 19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; huuondoa uhai wa wale wenye mali. 20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 21kwenye makutano ya barabara za mji zenye makelele mengi hupaza sauti, kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake: 22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, na wapumbavu kuchukia maarifa?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.