Mithali 1:19
Proverbs 1:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; huuondoa uhai wa wale wenye mali.
Proverbs 1:19 in English
Proverbs 1:19 · Berean Standard Bible
Such is the fate of all who are greedy, whose unjust gain takes the lives of its possessors.
Context
17Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu
wakati ndege wote wanakuona! 18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe;
hujivizia tu wenyewe! 19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila;
huuondoa uhai wa wale wenye mali. 20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani,
hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 21kwenye makutano ya barabara za mji
zenye makelele mengi hupaza sauti,
kwenye malango ya mji hutoa hotuba yake:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.