Mithali 1:17
Proverbs 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona!
Proverbs 1:17 in English
Proverbs 1:17 · Berean Standard Bible
How futile it is to spread the net where any bird can see it!
Context
15Mwanangu, usiandamane nao.
Usiweke mguu wako katika njia zao, 16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi,
ni wepesi kumwaga damu. 17Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu
wakati ndege wote wanakuona! 18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe;
hujivizia tu wenyewe! 19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila;
huuondoa uhai wa wale wenye mali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.