Mithali 1:16
Proverbs 1:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, ni wepesi kumwaga damu.
Proverbs 1:16 in English
Proverbs 1:16 · Berean Standard Bible
For their feet run to evil, and they are swift to shed blood.
Context
14Njoo ushirikiane nasi,
vitu vyote tutakavyopata tutagawana.” 15Mwanangu, usiandamane nao.
Usiweke mguu wako katika njia zao, 16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi,
ni wepesi kumwaga damu. 17Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu
wakati ndege wote wanakuona! 18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe;
hujivizia tu wenyewe!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.