Mithali 1:14
Proverbs 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”
Proverbs 1:14 in English
Proverbs 1:14 · Berean Standard Bible
Throw in your lot with us; let us all share one purse”—
Context
12tuwameze wakiwa hai kama kaburi,*
wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 13Tutapata aina zote za vitu vya thamani
na kujaza nyumba zetu kwa nyara. 14Njoo ushirikiane nasi,
vitu vyote tutakavyopata tutagawana.” 15Mwanangu, usiandamane nao.
Usiweke mguu wako katika njia zao, 16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi,
ni wepesi kumwaga damu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.