Native Bible

Proverbs 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

tuwameze wakiwa hai kama kaburi,* wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.

Proverbs 1:12 in English

Proverbs 1:12 · Berean Standard Bible

let us swallow them alive like Sheol, and whole like those descending into the Pit.

Context

10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao. 11Kama wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 12tuwameze wakiwa hai kama kaburi,* wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 13Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara. 14Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.