Native Bible

Proverbs 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao.

Proverbs 1:10 in English

Proverbs 1:10 · Berean Standard Bible

My son, if sinners entice you, do not yield to them.

Context

8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 9Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, na mkufu wa kuipamba shingo yako. 10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao. 11Kama wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 12tuwameze wakiwa hai kama kaburi,* wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.