Mithali 1:8
Proverbs 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.
Proverbs 1:8 in English
Proverbs 1:8 · Berean Standard Bible
Listen, my son, to your father’s instruction, and do not forsake the teaching of your mother.
Context
6kwa kufahamu mithali na mifano,
misemo na vitendawili vya wenye hekima. 7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa,
lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako,
wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 9Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako,
na mkufu wa kuipamba shingo yako. 10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi,
usikubaliane nao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.