Native Bible

Proverbs 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Proverbs 1:7 in English

Proverbs 1:7 · Berean Standard Bible

The fear of the LORD is the beginning of knowledge, but fools * despise wisdom and discipline.

Context

5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo; 6kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima. 7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 9Hayo yatakuwa taji la maua la neema kichwani pako, na mkufu wa kuipamba shingo yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.