Native Bible

Proverbs 1:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima.

Proverbs 1:6 in English

Proverbs 1:6 · Berean Standard Bible

by understanding the proverbs and parables, the sayings and riddles of the wise.

Context

4huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana; 5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo; 6kwa kufahamu mithali na mifano, misemo na vitendawili vya wenye hekima. 7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. 8Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.