Mithali 1:5
Proverbs 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo;
Proverbs 1:5 in English
Proverbs 1:5 · Berean Standard Bible
let the wise listen and gain instruction, and the discerning acquire wise counsel
Context
3kwa kujipatia nidhamu na busara,
kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 4huwapa busara wajinga,
maarifa na akili kwa vijana; 5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao,
wenye kupambanua na wapate mwongozo; 6kwa kufahamu mithali na mifano,
misemo na vitendawili vya wenye hekima. 7Kumcha Bwana ndicho chanzo cha maarifa,
lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.