Native Bible

Proverbs 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea;

Proverbs 1:3 in English

Proverbs 1:3 · Berean Standard Bible

and for receiving instruction in wise living and in righteousness, justice, and equity.

Context

1Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: 2Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara; 3kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 4huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana; 5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, wenye kupambanua na wapate mwongozo;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.