Native Bible

Proverbs 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara;

Proverbs 1:2 in English

Proverbs 1:2 · Berean Standard Bible

for gaining wisdom and discipline, for comprehending words of insight,

Context

1Mithali za Solomoni mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli: 2Kwa kupata hekima na nidhamu; kwa kufahamu maneno ya busara; 3kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; 4huwapa busara wajinga, maarifa na akili kwa vijana;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.