Native Bible

Proverbs 1:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; hujivizia tu wenyewe!

Proverbs 1:18 in English

Proverbs 1:18 · Berean Standard Bible

But they lie in wait for their own blood; they ambush their own lives.

Context

16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, ni wepesi kumwaga damu. 17Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona! 18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; hujivizia tu wenyewe! 19Huu ndio mwisho wa wote ambao wanajipatia mali kwa hila; huuondoa uhai wa wale wenye mali. 20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.