Mithali 1:25
Proverbs 1:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu,
Proverbs 1:25 in English
Proverbs 1:25 · Berean Standard Bible
because you neglected all my counsel, and wanted none of my correction,
Context
23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu,
ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu
na kuwafahamisha maneno yangu. 24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita
na hakuna yeyote aliyekubali
niliponyoosha mkono wangu, 25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote
na hamkukubali karipio langu, 26mimi nami nitawacheka katika maafa yenu,
nitawadhihaki wakati janga litawapata: 27wakati janga litawapata kama tufani,
wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli,
wakati dhiki na taabu zitawalemea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.