Native Bible

Proverbs 1:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga litawapata:

Proverbs 1:26 in English

Proverbs 1:26 · Berean Standard Bible

in turn I will mock your calamity; I will sneer when terror strikes you,

Context

24Lakini kwa kuwa mlinikataa nilipowaita na hakuna yeyote aliyekubali niliponyoosha mkono wangu, 25kwa kuwa mliyapuuza mashauri yangu yote na hamkukubali karipio langu, 26mimi nami nitawacheka katika maafa yenu, nitawadhihaki wakati janga litawapata: 27wakati janga litawapata kama tufani, wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, wakati dhiki na taabu zitawalemea. 28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.