Mithali 1:28
Proverbs 1:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata.
Proverbs 1:28 in English
Proverbs 1:28 · Berean Standard Bible
Then they will call on me, but I will not answer; they will earnestly seek me, but will not find me.
Context
26mimi nami nitawacheka katika maafa yenu,
nitawadhihaki wakati janga litawapata: 27wakati janga litawapata kama tufani,
wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli,
wakati dhiki na taabu zitawalemea. 28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu;
watanitafuta lakini hawatanipata. 29Kwa kuwa walichukia maarifa,
wala hawakuchagua kumcha Bwana, 30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu,
na kukataa maonyo yangu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.