Mithali 1:30
Proverbs 1:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu, na kukataa maonyo yangu,
Proverbs 1:30 in English
Proverbs 1:30 · Berean Standard Bible
They accepted none of my counsel; they despised all my reproof.
Context
28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu;
watanitafuta lakini hawatanipata. 29Kwa kuwa walichukia maarifa,
wala hawakuchagua kumcha Bwana, 30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu,
na kukataa maonyo yangu, 31watakula matunda ya njia zao,
na watashibishwa matunda ya hila zao. 32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua,
nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.