Mithali 1:32
Proverbs 1:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza.
Proverbs 1:32 in English
Proverbs 1:32 · Berean Standard Bible
For the waywardness of the simple will slay them, and the complacency of fools will destroy them.
Context
30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu,
na kukataa maonyo yangu, 31watakula matunda ya njia zao,
na watashibishwa matunda ya hila zao. 32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua,
nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. 33Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama,
atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.