Native Bible

Proverbs 1:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”

Proverbs 1:33 in English

Proverbs 1:33 · Berean Standard Bible

But whoever listens to me will dwell in safety, secure from the fear of evil.”

Context

31watakula matunda ya njia zao, na watashibishwa matunda ya hila zao. 32Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. 33Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.