Native Bible

Proverbs 1:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha Bwana,

Proverbs 1:29 in English

Proverbs 1:29 · Berean Standard Bible

For they hated knowledge and chose not to fear the LORD.

Context

27wakati janga litawapata kama tufani, wakati maafa yatawazoa kama upepo wa kisulisuli, wakati dhiki na taabu zitawalemea. 28“Ndipo watakaponiita lakini sitawajibu; watanitafuta lakini hawatanipata. 29Kwa kuwa walichukia maarifa, wala hawakuchagua kumcha Bwana, 30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu, na kukataa maonyo yangu, 31watakula matunda ya njia zao, na watashibishwa matunda ya hila zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.