Wafilipi 1:3
Philippians 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi.
Philippians 1:3 in English
Philippians 1:3 · Berean Standard Bible
I thank my God every time I remember you.
Context
1Waraka wa Paulo na Timotheo, watumishi wa Kristo Yesu:
Kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu walioko Filipi, pamoja na waangalizi na mashemasi: 2Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 3Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi. 4Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha, 5kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.