Native Bible

Philippians 1:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.

Philippians 1:2 in English

Philippians 1:2 · Berean Standard Bible

Grace and peace to you from God our Father and the Lord Jesus Christ.

Context

1Waraka wa Paulo na Timotheo, watumishi wa Kristo Yesu: Kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu walioko Filipi, pamoja na waangalizi na mashemasi: 2Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 3Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi. 4Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.