Native Bible

Philippians 1:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha,

Philippians 1:4 in English

Philippians 1:4 · Berean Standard Bible

In every prayer for all of you, I always pray with joy,

Context

2Neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi. 3Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi. 4Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha, 5kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo. 6Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Kristo Yesu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.