Native Bible

Philippians 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo.

Philippians 1:5 in English

Philippians 1:5 · Berean Standard Bible

because of your partnership in the gospel from the first day until now,

Context

3Ninamshukuru Mungu wangu kila niwakumbukapo ninyi. 4Katika maombi yangu yote daima nimekuwa nikiwaombea ninyi nyote kwa furaha, 5kwa sababu ya kushiriki kwenu katika kueneza Injili, tangu siku ya kwanza hadi leo. 6Nina hakika kwamba yeye aliyeianza kazi njema mioyoni mwenu, ataiendeleza na kuikamilisha hata siku ya Kristo Yesu. 7Ni haki na ni wajibu wangu kufikiri hivi juu yenu nyote, kwa sababu ninyi mko moyoni mwangu. Ikiwa nimefungwa au nikiwa ninaitetea na kuithibitisha Injili, ninyi nyote mnashiriki neema ya Mungu pamoja nami.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.