Filemoni 1:13
Philemon 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ningependa nikae naye ili ashike nafasi yako ya kunisaidia wakati huu nikiwa kifungoni kwa ajili ya Injili.
Philemon 1:13 in English
Philemon 1:13 · Berean Standard Bible
I would have liked to keep him with me, so that on your behalf he could minister to me in my chains for the gospel.
Context
11Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia. 12Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa. 13Ningependa nikae naye ili ashike nafasi yako ya kunisaidia wakati huu nikiwa kifungoni kwa ajili ya Injili. 14Lakini sikutaka kufanya lolote bila idhini yako, ili wema wowote uufanyao usiwe wa lazima, bali wa hiari. 15Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.