Native Bible

Philemon 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima.

Philemon 1:15 in English

Philemon 1:15 · Berean Standard Bible

For perhaps this is why he was separated from you for a while, so that you might have him back for good—

Context

13Ningependa nikae naye ili ashike nafasi yako ya kunisaidia wakati huu nikiwa kifungoni kwa ajili ya Injili. 14Lakini sikutaka kufanya lolote bila idhini yako, ili wema wowote uufanyao usiwe wa lazima, bali wa hiari. 15Huenda sababu ya yeye kutengwa nawe kwa kitambo kidogo ni ili uwe naye daima. 16Si kama mtumwa, bali bora kuliko mtumwa, kama ndugu mpendwa. Yeye ni mpendwa sana kwangu na hata kwako zaidi, yeye kama mwanadamu na kama ndugu katika Bwana. 17Hivyo kama unanihesabu mimi kuwa mshirika wako, mkaribishe kama vile ungenikaribisha mimi mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.