Filemoni 1:11
Philemon 1:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia.
Philemon 1:11 in English
Philemon 1:11 · Berean Standard Bible
Formerly he was useless to you, but now he has become useful both to you and to me.
Context
9lakini ninakuomba kwa upendo, mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Kristo Yesu, 10nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo,* aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo. 11Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia. 12Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa. 13Ningependa nikae naye ili ashike nafasi yako ya kunisaidia wakati huu nikiwa kifungoni kwa ajili ya Injili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.