Filemoni 1:9
Philemon 1:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
lakini ninakuomba kwa upendo, mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Kristo Yesu,
Philemon 1:9 in English
Philemon 1:9 · Berean Standard Bible
I prefer to appeal on the basis of love. For I, Paul, am now aged, and a prisoner of Christ Jesus as well.
Context
7Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu. 8Hata hivyo, ingawa katika Kristo ningeweza kuwa na ujasiri na kukuagiza yale yakupasayo kutenda, 9lakini ninakuomba kwa upendo, mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Kristo Yesu, 10nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo,* aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo. 11Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.