Filemoni 1:10
Philemon 1:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo,* aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo.
Philemon 1:10 in English
Philemon 1:10 · Berean Standard Bible
I appeal to you for my child Onesimus,* whose father I became while I was in chains.
Context
8Hata hivyo, ingawa katika Kristo ningeweza kuwa na ujasiri na kukuagiza yale yakupasayo kutenda, 9lakini ninakuomba kwa upendo, mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Kristo Yesu, 10nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo,* aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo. 11Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia. 12Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.