Filemoni 1:8
Philemon 1:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata hivyo, ingawa katika Kristo ningeweza kuwa na ujasiri na kukuagiza yale yakupasayo kutenda,
Philemon 1:8 in English
Philemon 1:8 · Berean Standard Bible
So although in Christ I am bold enough to order you to do what is proper,
Context
6Naomba utiwe nguvu katika kuishuhudia imani yako, ili upate kuwa na ufahamu mkamilifu juu ya kila kitu chema tulicho nacho ndani ya Kristo. 7Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu. 8Hata hivyo, ingawa katika Kristo ningeweza kuwa na ujasiri na kukuagiza yale yakupasayo kutenda, 9lakini ninakuomba kwa upendo, mimi Paulo, mzee na pia sasa nikiwa mfungwa wa Kristo Yesu, 10nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo,* aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.