Filemoni 1:12
Philemon 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa.
Philemon 1:12 in English
Philemon 1:12 · Berean Standard Bible
I am sending back to you him who is my very heart.
Context
10nakuomba kwa ajili ya mwanangu Onesimo,* aliyefanyika mwanangu nilipokuwa kwenye minyororo. 11Mwanzoni alikuwa hakufai, lakini sasa anakufaa sana wewe na mimi pia. 12Namtuma kwako, yeye aliye moyo wangu hasa. 13Ningependa nikae naye ili ashike nafasi yako ya kunisaidia wakati huu nikiwa kifungoni kwa ajili ya Injili. 14Lakini sikutaka kufanya lolote bila idhini yako, ili wema wowote uufanyao usiwe wa lazima, bali wa hiari.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.